Mazinge Kwa Uchungu Sana Awaripuwa Vijana Waliyo Ritadiswa Kwa Njaa Zao -

#SheikhMazinge #Mawaidha #Imani #Vijana #Tanzania #Dini #Msimamo

Mazinge ameonekana kuguswa sana, akisisitiza kuwa thamani ya Muislamu haiwezi kununuliwa kwa chakula.

Je, unakubaliana na Sheikh Mazinge kuwa njaa si kisingizio cha kupoteza msimamo? Nini kifanyike kuwanusuru vijana wetu?